@matingaedoreen

2024 from Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ the song doesn't get old πŸŽ‰β€

@BadoMartense

28/3/2024 nazidi kusikiza hii injili. From Goma πŸ‡¨πŸ‡©, nawapenda sana ❀

@neemalkiswaga6126

2024  who is here❀✨✨✨Nataman nitembee na Yesu 2024 Mungu tutangulie katika  mambo yote❀

@Ssssssssss-k8n

Any way who is here in 2024 love this song so much πŸ’žπŸ’žπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡·πŸ‡ΌπŸ‡·πŸ‡Ό

@irenenjogu6766

Nime kupata yesu,
Nimepata yote,
Nimekupata bwana,
Sitahitaji tena aah,
Wewe, ndiwe hitaji langu,
Ngome yangu na mwamba
Tengemeo langu katika hali
Jaza moyo wangu, upendo nikupende,
U rafiki wa kweli,
Nifundishe kupenda aah,
Bwana, maana upendo wako,
Ndio pekee waweza,
Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Wapenzi wa kulia,
Wengi ni wadanganyifu,
Niwapo katika hali zuri tuko wote eeh,
Lakini katika matatizo,
Wote wanikimbia,
Wewe nimekupata nitakushikilia
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Nakukaribisha bwana,
Uyatawale maisha,
Yetu yakila siku,
Tufundishe kupanda aa, mbegu
Za upendo wa dhati,
Mwisho wa nyakati,
Tuweze kuvuna matunda ya ukamili
Kamilisha upendo, mungu aliohadaa
Dumisha ndoa zao furaha itawale,
Bwana, pembeni za unyonge na udhaifu,
Wao familia iwe mwanga wa mbingu ku
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati,
Upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu
Pekee ulio bora

@amenahnaiga2935

Am Muslim but I really feel your music,thank u

@niwarimpamarvellous

Who's still enjoying in 2024

@brianosoro3083

How many Kenyans in the year 2024 πŸ™‹raise your hands up.

@newtonwanyama1846

2023 wangapi wanatamani kutembea katika upendo wa bwanaπŸ™πŸ™, pita na like tujuaneπŸ™πŸ™

@faridaothman

Wangapi wamebarikiwa na huu wimbo???? 
Na haujawahi kuuchoka?
Like hapa

@binishpjoy

I'm from India..nurse by profession. Through Leon, a Tanzanian citizen, I came to know about the song.. now im a regular Listener of this song.. it is so nice to hear .. regardless language, culture, race , countries, we worship the living God... Jesus Christ. Amen. Praise the Lord for his blessings

@MissOprah1774

Who’s still here in 2024 πŸ₯° Mungu akubariki ❀

@davismtai6627

2024 it is! The song still touches my soul. Praise be to the Most High, God of heaven and Earth.

@pqoedhpeetah

How many Kenyans it's 2024πŸ˜†

@TheWorldGospel

who's here in 2025 , Lets gather With Likes and comments

@FeliciaOridani

I am a Nigerian but I can't just stop listening to this song. I love it so much. God bless you all

@habigailjordans9386

Who's listening the Voice of the Lord Jesus Christ in this kind of situation of #CORONA VIRUS 😭😭 we need you God πŸ™πŸ™πŸ™ Visit everyone and heal all sick people πŸ™πŸ™ in you we trust πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ™πŸ™πŸ™

@Dizzo819

2024,God is making it amazing.May u Lord teach me how to loveπŸ™

@PurityLelei

Who is here 2024β€β€β€β€β€πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰year of success in Jesus name

@Saidesaideinacio

Kama usikiliza huu wimbo na huku unasoma komenti mwakahuu 2025 na huku unahisi unabarikiwa basi 3:42 wapendwa tujuwane kwa komenti nyingi hapo chini from Mozambique πŸ‡²πŸ‡ΏπŸ•ŠοΈ